Alhamisi , 21st Oct , 2021

Msanii Hamadai anasema kati ya wanamuziki wenye pesa nyingi bongo na yeye ni mmoja wapo na pesa hizo amezipata kutokana na kazi zake za ujasiriamali na utafutaji.

Picha ya msanii Hamadai

Mtazame hapa kwenye video akijimwambafai kuhusu pesa zake.