Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

"Ningemkosa Prof Jay, ingekuwa Mwana Fa" - Ferooz 

Jumanne , 1st Dec , 2020

Kwenye kuadhimisha siku hii ya Ukimwi duniani, kipindi cha Planet Bongo ya East Africa Radio imepiga stori na msanii Ferooz ambaye alitoa wimbo wake wa starehe ambao unazungumzia ugonjwa huo.

Msanii Ferooz

Wimbo huo ulifanya vizuri kwenye kuelimisha kuhusiana na ugonjwa huo mpaka kuzawadiwa gari na Rais wa awamu ya tatu Hayati Benjamin William Mkapa, akizungumzia kuhusu wimbo huo Ferooz amesema 

"Wimbo wangu ya starehe idea niliitoa kwa Rais wa awamu ya tatu marehemu Benjamin William Mkapa, alitusihi wasanii kutunga nyimbo za kuelimisha watu kuhusu Ukimwi".

"Kila nilipokuwa natafuta mtu ambaye nataka asimame kama Daktari  akili inaishia kwa Prof Jay, kama ningemkosa basi Mwana Fa alitakiwa asimame, hata Prof Jay naye hakujua kama nilikuwa nimejipanga hivyo".

Aidha ameongeza kusema "Napenda apatikane msanii mwingine ambaye atafanya nyimbo ambayo itaishi kama wimbo wa starehe ambavyo umedumu, najua kuna vijana wanaweza kutengeneza vitu vikali vitakavyo kuwa na elimu kwa jamii, ni kitu ambacho sio cha kukurupuka ni kujipanga".

Tazama mrembo Doreen Odemba alivyotaka kujiua kisa kupata ugonjwa wa Ukimwi.

HABARI ZAIDI

Bashiri Mohamed (35) Mwenye Koti Jeusi akiwa anafikishwa Mahakamani Ilemela, Jijini Mwanza

Aliyezini na binti yake apandishwa kizimbani

Kiwanda cha sukari Mtibwa

11 wafariki dunia kiwanda cha Mtibwa

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC Kapenjama ataka uaminifu kwa wakulima Songea

Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania

Wanahabari wasisitizwa kuzingatia maadili ya kazi

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC atangaza msako kuwaondoa walinzi wazee kazini

Rose Senyagwa, Mchambuzi wa Masuala ya Hali ya Hewa kutoka TMA

Kimbunga "IALY" kinazidi kusogea Pwani ya bahari