Ijumaa , 4th Mar , 2022

Ni Headlines za kijana Pengo Official amefunga safari kutoka Mbeya mpaka Dar es Salaam akiwa pete na ujumbe kwenye karatasi ukieleza yupo tayari kuolewa na Madam Ritha.

Picha ya Pengo na ujumbe wake

Akipiga story na EATV & EA Radio Digital Pengo anasema amefanya hivyo kwa sababu ya ahadi aliyopewa na Madam Ritha kwamba atafute pete ili amuoe.

Zaidi tazama hapa kwenye video akizungumzia hilo.