Ijumaa , 15th Oct , 2021

Mtayarishaji wa muziki Genius Jini x66 amefunguka sababu iliyokwamisha dili la msanii Hanstone kusainiwa katika lebo ya WCB Wasafi baada ya Oktoba 10 mwaka huu kuachia Extended Playlist (EP) yake ‘Amazing’ ya kwanza kama solo artist tofauti na matarajio ya wengi.

Picha ya Msanii Diamond Platnumz na Hastone

Msikilize Genius hapa akifunguka