Jumatatu , 25th Mar , 2024

Inawezekana Gerald Pique amemvuruga sana muimbaji Shakira mpaka kufikia hatua ya kusema haamini kama atakuja kupenda au kuolewa tena baada ya kuachana kwao.

Picha ya Pique na Shakira

Shakira anadai penzi lake na Gerlad Pique limemfanya kumrudisha nyuma na kuumizwa vibaya kimapenzi pia hatamlipizia kisasi kwa kumuongelea kwenye nyimbo zake kama ambavyo amefanya kwenye nyimbo zake zilizopita.

Wawili hao wamedumu kwenye mahusiano kwa miaka 11 na kupata watoto wawili Milan na Sasha baada ya kukutana mwaka 2010.