Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

"Siogopi manyaku nyaku,nitaolewa" - Hamisa Mobetto

Jumapili , 31st Mei , 2020

Msanii na mrembo Hamisa Mobetto ameiambia EATV & EA Radio Digital kuwa kwenye maisha yake anaogopa vitu vingi ila haogopi suala la mwanamke "manyaku nyaku" kumchukulia mwanaume wake.

Msanii Hamisa Mobetto

Hamisa Mobetto amesema kwa sasa yupo kwenye mahusiano na mwanaume ambaye hataweza kumuonyesha pia tayari kuolewa kama atakuwa amepangiwa hivyo. "Nipo kwenye mahusiano sidhani kama naweza nikaogopa manyaku nyaku, katika vitu ambavyo naweza nikaviogopa vipo vingi lakini sio mwanamke kunichukulia mwanaume wangu, kama akiamua kuondoka ni mipango ya Mungu na hakupangwa kuwa wangu lakini sio niogope mwanamke mwingine kwamba atakuwa naye" amesema Hamisa Mobetto 

"Mpaka sasa hivi sijaolewa, kila kitu kinatokea kwa sababu yake na mipango ya mungu kwa jinsi tunavyoishi zaidi ndiyo unajifunza na kukua na sijajua mipango yangu ya ndoa ipoje ila mwanamke kuoelewa ni lazima na nitaolewa na mwanaume ambaye nimepangiwa

Zaidi tazama kwenye mahojiano kamili hapa chini.

HABARI ZAIDI

Sehemu ya Ardhi iliyoathirika na Mabadiliko ya Tabia Nchi

Hizi hapa sababu za hali ya hewa isiyotarajiwa

Picha za Satelaiti Zikionyesha Mwenendo wa Kimbunga Hidaya

Kimbunga Hidaya chaendelea kutawala eneo la Pwani

Madaktari Bingwa wa Mama Samia Wakiendelea na Upasuaji

Uvimbe wa kilo 5 waondolewa tumboni kwa mwanamke

Rocket Mwashinga, Chifu Mkuu wa Kabila la Wasafwa

Chifu Mwashinga akemea washirikina kutesa watu

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Wanahabari na Wadau wengine kwenye Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma leo Mei 03, 2024.

Watendaji serikalini ondoeni ukiritimba - Majaliwa

Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro SACP Alex Mkama, akionesha vitu vilivyokuwa vimeibiwa

Fundi ujenzi mbaroni mauaji ya dada wa kazi

Wahitimu wa Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa JKT

Wahitimu JKT watakiwa kulinda miradi ya serikali