Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Sitengenezi kiki bali kiki zinanifuata - Nay

Jumapili , 19th Feb , 2017

Msanii wa Bongo Fleva Nay wa Mitego ameiambia eNewz ya EATV kwamba hajawahi kutengeneza kiki ila kiki ndiyo zinamfuata kwa kuwa yeye ni msanii anayependwa kusikilizwa kuliko msanii yeyote.

Nay wa Mitego

 

Kuhusu sekeseke la mwaka jana lililohusisha kutupiana madongo kati yake na Niva, amesema kuwa Niva alidanganya aliposema wapanga kufanya jambo hilo kwa ajili ya 'kiki' huku akikanusha kuwa hakuwahi kabisa kutengeza kiki na msanii huyo wa bongo movie.

“Mimi sitengenezi kiki bali kiki zinanifuata na nitake radhi sijawahi kufanya kitu kama hicho na mtu kama yule na ninapa kwa Mwenyezi Mungu na Mungu wangu anayenisikiliza sijawahi kutengeneza kiki na mtu wa dizaini ile biashara yangu na yeye haziendani mimi nafanya muziki”

Mwaka 2016 Niva alidai kuwa Nay alim-diss kwenye ngoma yake kwamba hana nyumba na wala hana sehemu ya kulala bali analala kwenye gari jambo ambalo lilizuia vita ya maneno kati ya Nay na Niva

HABARI ZAIDI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Jenista Mhagama

Wazazi simamieni maadili kwa watoto 

Sehemu ya Ardhi iliyoathirika na Mabadiliko ya Tabia Nchi

Hizi hapa sababu za hali ya hewa isiyotarajiwa

Picha za Satelaiti Zikionyesha Mwenendo wa Kimbunga Hidaya

Kimbunga Hidaya chaendelea kutawala eneo la Pwani

Madaktari Bingwa wa Mama Samia Wakiendelea na Upasuaji

Uvimbe wa kilo 5 waondolewa tumboni kwa mwanamke

Rocket Mwashinga, Chifu Mkuu wa Kabila la Wasafwa

Chifu Mwashinga akemea washirikina kutesa watu

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Wanahabari na Wadau wengine kwenye Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma leo Mei 03, 2024.

Watendaji serikalini ondoeni ukiritimba - Majaliwa