Picha ya msanii T.I
T.I anasema mtoto wake King Harris alilichukulia bifu personal na alienda mbali mpaka kuvaa t shirt yenye sura ya mama yake 50 Cent ambaye ameshafariki.
"Jambo ninalojivunia katika familia yetu ni kwamba kuna wanaume ambao wapo tayari dhidi ya mtu yeyote atakayezingua"
"Nilivyoona (King Harris) amevaa nguo yenye sura ya mama yake 50 Cent nilimkataza nikawaambia sasa tulieni inatosha, sitaki kuwaona wakifanya mengine" anasema T.I
50 Cent alipost picha ya kumdhihaki mke wa T.I kwenye mtandao wake wa Instagram wakati bifu lao likiendelea.



