Jumanne , 26th Oct , 2021

Mume wa zamani wa msanii wa filamu Shamsa Ford, Chidi Mapenzi amempa makavu Uchebe kwa kusema anafanya matukio ili kuongeza followers kwenye mtandao wa Instagram.

Picha ya Chidi Mapenzi

Chidi Mapenzi ameongeza kusema Uchebe ni mtu wa dini lakini nia yake ni kufikisha followers milioni 2 ndio maana anafanya matukio mengi ili kuhakikisha anawapata.

Zaidi mtazame hapa kwenye video akimzungumzia Uchebe.