Jumatatu , 18th Oct , 2021

Kupitia Insta Story ya staa wa muziki ndani na nje ya Tanzania Diamond Platnumz, anasema wasanii watanzania watoe nyimbo za maana ili wakienda kufanya show Marekani waweze kujaza.

Picha ya msanii Diamond Platnumz

Kupitia clip video alizoshea kwenye Insta Story yake Diamond Platnumz amesikika akisema "Nyie watanzania pia mkija huku mfanye mambo ya maana, toeni nyimbo mkija mjaze" 

Zaidi jionee hapa kwenye video akizungumzia hilo.