Kulia ni Chidi Benz, kushoto ni wachezaji wa Simba na Yanga Miquissone na Kisinda
"Mungu ajaalie mchezo uishe salama na ushindi upatikane hasa kwa sisi Yanga, nakuwaga muoga sana kutabiri vitu kama hivi ila nasubiri kuona itakuaje, mnajua mkishakuwa washindani ukishamfunga mwezio kwa mara ya kwanza unakua na faida ya kumfunga tena mechi ya pili" ameeleza Chidi Benz
Zaidi mtazame hapo chini kwenye video akizungumzia hilo.