Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

VIDEO: Q Chillah na QS walivyomalizana

Jumapili , 26th Feb , 2017

Msanii bongo fleva Q Chillah amemalizana rasmi na aliyekuwa msimamizi wa kazi zake za muziki QS Mhonda kwa kumuandikia barua na hatiamaye kukubaliana kuvunja mkataba wa maisha waliokuwa wameingia baina yao.

QS Mhonda akiwa na Q Chillah

 

Akiongea kupitia eNewz ya EATV, msanii huyo alionekana mwenye furaha kubwa baada ya kupokea taarifa ya kuruhusiwa kutoka ndani ya QS J Mhonda.

“Napenda nitangulize shukrani zangu za dhati kwa yote uliyonitendea, ushirikiano wako na utendaji wako wa kazi umenisaidia, kuniimarisha na kunijenga kisaikolojia”. Baadhi ya maneno aliyoandika Q Chief katika barua yake ambayo imekwenda kwa Muhonda

Aidha Chillah alisema kilichompelekea yeye kuandika barua hiyo ni kutaka kumshukuru aliyekuwa muajiri wake kwa mema na mazuri yote aliyomfanyia pindi alipokuwa katika kampuni hiyo.

Kwa upande mwingne msanii huyo hakutaka kuzungumza lolote kuhusiana na tetesi zilizoenea kuwa Mb Dogg nae pia ametoka katika ‘Lebo' ya QS J Muhonda’ na kutaka swali hilo atafutwe mwenyewe aweze kufafanua sababu za kuondoka.

Q Chillah

“Unapaswa ujiulize kwanini hawajaondoka kabla ya mimi kuondoka, ‘I did it for my future’ lakini kama wanahisi mimi nimekuwa mfano wa kutambua matatizo yao basi wanaweza wakafanya vile wanavyojisikia ila kama hawana uhakika na wanachotaka kukifanya wasikurupuke wajipange”. Alisisitiza Q Chief

Hata hivyo msanii huyo alisema kila ambaye anatoka katika kampuni hiyo ana sababu zake binafsi hawawezi wote wakawa sawa.

Itazame hapa...

HABARI ZAIDI

Sehemu ya Ardhi iliyoathirika na Mabadiliko ya Tabia Nchi

Hizi hapa sababu za hali ya hewa isiyotarajiwa

Picha za Satelaiti Zikionyesha Mwenendo wa Kimbunga Hidaya

Kimbunga Hidaya chaendelea kutawala eneo la Pwani

Madaktari Bingwa wa Mama Samia Wakiendelea na Upasuaji

Uvimbe wa kilo 5 waondolewa tumboni kwa mwanamke

Rocket Mwashinga, Chifu Mkuu wa Kabila la Wasafwa

Chifu Mwashinga akemea washirikina kutesa watu

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Wanahabari na Wadau wengine kwenye Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma leo Mei 03, 2024.

Watendaji serikalini ondoeni ukiritimba - Majaliwa

Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro SACP Alex Mkama, akionesha vitu vilivyokuwa vimeibiwa

Fundi ujenzi mbaroni mauaji ya dada wa kazi