Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Wasanii wamshukuru Rais

Jumamosi , 9th Dec , 2017

Wasanii na watu maarufu nchini wamempongeza Rais Magufuli kwa kutoa msamaha kwa familia ya Babu Seya, kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi ambazo zinampa mamlaka ya kufanya hivyo.

Kwenye kurasa zao za mitandao ya kijamii, wasanii hao wamendika jumbe mbali mbali wakionyesha kufurahia uhuru wa wasanii wenzao hao, ambao walifungwa kwa muda mrefu kutokana na makosa yaliyokuwa yanawakabili.

Baadhi ya wasanii hao ni Roma Mkatoliki  aliyeandika 'Welcome Home #Fam #Papii #Nguza#Mungu-ni-mwema, Aslay Isihaka ameandika Muda Umejibu Asante Mh Rais Kwa Hili, Billnas nae alipost picha ya Babu seya na mwanae  na kuandika 'heri ya sikuu yetu ya Uhuru'.

Nguza na wanawe watatu walikamatwa Oktoba 12 mwaka 2003 na walipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Oktoba 16, mwaka 2003, wakituhumiwa kubaka na kunajisi watoto 10, na Juni 25, 2004 Mahakama iliwatia hatiani na kuwahukumu kwenda jela maisha kwenye Gereza la Ukonga, Dar es Salaam.
 

HABARI ZAIDI

Sehemu ya Ardhi iliyoathirika na Mabadiliko ya Tabia Nchi

Hizi hapa sababu za hali ya hewa isiyotarajiwa

Picha za Satelaiti Zikionyesha Mwenendo wa Kimbunga Hidaya

Kimbunga Hidaya chaendelea kutawala eneo la Pwani

Madaktari Bingwa wa Mama Samia Wakiendelea na Upasuaji

Uvimbe wa kilo 5 waondolewa tumboni kwa mwanamke

Rocket Mwashinga, Chifu Mkuu wa Kabila la Wasafwa

Chifu Mwashinga akemea washirikina kutesa watu

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Wanahabari na Wadau wengine kwenye Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma leo Mei 03, 2024.

Watendaji serikalini ondoeni ukiritimba - Majaliwa

Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro SACP Alex Mkama, akionesha vitu vilivyokuwa vimeibiwa

Fundi ujenzi mbaroni mauaji ya dada wa kazi