Picha ya msanii Zuchu
Msanii huyo wa lebo ya WCB amefanikisha hilo ndani ya miaka miwili tu tangu ameingia rasmi kwenye mziki.
Official Zuchu ameweka rekodi ya kuwa msanii wa kwanza wa kike Africa Mashariki kufikisha 'Subscribers' Milioni 2 Youtube, pia anakamata namba nne kwa wasanii wa kike wenye subscribers wengi Africa.
Picha ya msanii Zuchu
Msanii huyo wa lebo ya WCB amefanikisha hilo ndani ya miaka miwili tu tangu ameingia rasmi kwenye mziki.