Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Akamatwa kwa kumfundisha Mbwa kuendesha gari

Jumanne , 31st Mar , 2020

Mwanaume mmoja kutoka Lakewood Washington nchini Marekani, amekamatwa kwa kosa la kumfundisha Mbwa wake mwenye jinsia ya kike kuendesha gari kwa spidi, hali iliyopelekea kusababisha ajali.

Ajali iliyosababishwa na Mtuhumiwa na Mbwa wake

Jamaa huyo alimuweka Mbwa wake katika siti ya dereva, ambapo amesababisha ajali ya gari mbili zilizokuwa mbele yake bahati nzuri hakukuwa na mtu aliyepata majeraha kwenye ajali hiyo.

Ripoti ya msemaji wa Jeshi la Polisi la Washington State Patrol amesema  "Gari la mtuhumiwa lilikuwa linaendeshwa kwa spidi sana tena isiyo ya kawaida, ameendesha maili 109 kwa muda wa saa moja,na alikuwa anajaribu kutukwepa lakini imeshindikana, tunashukuru baada ya ajali hiyo hakukuwa na mtu yeyote aliyepata majeruhi imekuwa kama miujiza".

Pia  ameendelea kusema tayari wanamshikilia mtuhumiwa huyo kama atataka kuachiwa kwa dhamana itabidi alipe fedha za Kitanzania Shilingi milioni 19, na mbwa wake amehifadhiwa kwenye mazingira ya wanyama wengine baada ya mmiliki wake kukamatwa.

Kwa upande wa mtuhumiwa anayemmiliki mbwa huyo amejitetea kwa kusema, alikuwa anamfundisha  mbwa wake jinsi ya  kuendesha gari.

HABARI ZAIDI

Bujukano Mahungu John, Mwenyekiti wa Umoja wa Waganga na Wakunga wa Tiba Asili Tanzania

Waganga wa jadi waungana kukemea ukatili, Geita

Mhe. Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania

Mvua zilizoambatana na upepo zimeua watu watano TZ

Muonekano wa Eneo la Somanga baada ya Mawasiliano kati ya Lindi na Dar es Salaam kurejeshwa.

Mawasiliano yarejeshwa barabara ya Dar - Lindi

Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga

Kituo cha kupoza umeme kujengwa Tunduma

Mkuu wa Usalama Barabarani mkoa wa Songwe Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (SSP) Charles Bukombe, akizungumza na abiria

"Fungeni mikanda muda wapo safarini" - SSP