Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Atimiza ndoto ya kuoa wake wawili kwa siku moja

Jumanne , 9th Mar , 2021

Kiongozi wa chama cha vijana All Progressives Congress (APC) Mjini Abuja nchini Nigeria, Babangida Sadiq amefunga ndoa na wake zake wawili kwa siku moja huku akidai ametimiza ndoto zake ambazo alikuwa anatamani kufanya hivyo tangu alivyokuwa mtoto.

Picha ya Babangida Sadiq na wake zake wote wawili

Harusi zake zote zimefanyika siku ya Jumamosi Machi 6 mjini Abuja, na wake zake wamefahamika kwa majina ya Maryam Muhammad na Maimuna Mahmud, harusi ya kwanza imefanyika saa 4 Asubuhi nyingine imefanyika 7 Mchana.

Akizungumzia sababu ya kuoa wake wawili baada ya kufunga ndoa Babangida Sadiq amesema "Kwa muda mrefu ndoto zangu ilikuwa kuoa wanawake wawili kwa siku moja, watu wengi wanahisi haiwezekani lakini Mungu amefanya nimefanikisha hili

Chanzo : Legit.ng

Mfahamu Mzee Kisauji anayetrend mitandaoni, bonyeza hapa kutazama vituko vyake

HABARI ZAIDI

Sehemu ya Ardhi iliyoathirika na Mabadiliko ya Tabia Nchi

Hizi hapa sababu za hali ya hewa isiyotarajiwa

Picha za Satelaiti Zikionyesha Mwenendo wa Kimbunga Hidaya

Kimbunga Hidaya chaendelea kutawala eneo la Pwani

Madaktari Bingwa wa Mama Samia Wakiendelea na Upasuaji

Uvimbe wa kilo 5 waondolewa tumboni kwa mwanamke

Rocket Mwashinga, Chifu Mkuu wa Kabila la Wasafwa

Chifu Mwashinga akemea washirikina kutesa watu

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Wanahabari na Wadau wengine kwenye Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma leo Mei 03, 2024.

Watendaji serikalini ondoeni ukiritimba - Majaliwa

Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro SACP Alex Mkama, akionesha vitu vilivyokuwa vimeibiwa

Fundi ujenzi mbaroni mauaji ya dada wa kazi

Wahitimu wa Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa JKT

Wahitimu JKT watakiwa kulinda miradi ya serikali