Upande wa kushoto ni Barnaba Classic kulia Post Malone
Ni muonekano wa picha mbili tofauti wa msanii Barnaba Classic na Post Malone kutoka Marekani wakiwa wametupia mavazi ya sketi vazi ambalo huvaliwa zaidi na wanawake.
Kivazi cha msanii gani kimempendeza hapo zaidi?