Bibi Cheryl McGregor na mume wake Quran McCain
Wawili hao wanasema wamejaribu kutafuta mtoto kwa njia ya kawaida hawajafanikiwa hivyo wanaangalia mwanamke atakayekuwa tayari kufanya hivyo waingie mkataba kwenye suala hilo.
Pia wanasema familia yao inawasapoti kwa kiasi kikubwa katika uamuzi wao huo wa kutaka kuwa na mtoto.
Chery na Quran walikutana mwaka 2012 wakati wanafanyakazi pamoja na wamepishana miaka 37.