Pia Mchungaji Mashimo ameacha namba yake ya mawasiliano ili ndugu wa mtu aliyemuibia ukurasa wake wampigie simu pale watakapoona hali ya ndugu yao ni mbaya, ili akamuombee.
Mchungaji anayejulikana kwa jina la Daudi Mashimo, amegeuka kuwa mbogo baada ya mtu kumuibia ukurawa wake wa Instagram, huku akifikia hatua ya kumuombea dua ya laana mtu huyo