Picha ya Muna Love
Kupitia Instagram ameeleza kuwa alikuwa akipenda sana dimpozi ambapo hakubaatika kuwa nazo hivyo imembidi afanye upasuaji kuuridhisha moyo wake na kuupa muonekano mpya sura yake.
Pia amesema hii ilikuwa ni surgery ya pili kati ya nne alizozifanya tayari ambazo ame ahidi kuziweka wazi muda wowote.