Thibaut Courtois na Jose Mourinho
"Ninaamini kile Vinicius alichosema, 100%. Vinicius hajawahi, hajawahi kumtuhumu mchezaji mpinzani yeyote kwa ubaguzi wa rangi hapo awali"
"Nilimsikia Prestianni akisema maneno hayo 100%, alituambia mara nyingi niliona video za mashabiki wa Benfica wakifanya ishara mbaya uwanjani, na ilikuwa kweli"
"Mourinho kama kocha aliitetea klabu yake kila wakati na utamwamini mchezaji wako, lakini jambo moja lilinikatisha tamaa kwani ni kutumia staili ya kushangalia Vini kama kisingizio, Anaweza kuhalalisha ubaguzi wa rangi badala ya sherehe".
"Ilikuwa Vinicius ndiye aliyeamua kwamba tuendelee kucheza mchezo dhidi ya Benfica. Kama Vini Jr angeamua kuondoka, tusingeendelea na mchezo" - Courtois




