Barker amesema lengo la kwanza ni kushinda kila mchezo,pili ni kutoa nafasi kwa wachezaji ambao wamekuwa hawapati muda wa kutosha na mwisho wachukue ubingwa huo.
Simba kesho itacheza mchezo wa robo fainali dhidi ya Mafunzo FC kuanzia saa 2:15 Usiku kwenye uwanja wa New Amaan Complex.


