Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Chomoka na ndinga mpya msimu wa Kombe la Dunia

Jumatano , 23rd Nov , 2022

Zikiwa zimepita siku chache tokea kuanza kwa Kombe la Dunia huko nchini Qatar, kampuni ya michezo ya kubahatisha Parimatch Tanzania imewapa wateja wake na wadau wote wa kubeti mchongo wa kujishindia gari mpya na ya kisasa, simu janja pamoja na bodaboda kutoka kampeni ya Chomoka na Ndinga.

Msanii Marioo kwenye picha ya promosheni Chomoka na Ndinga.

Hayo yamebainishwa na Afisa Habari wa Parimatch Tanzania, Ismael Mohamed wakati alipokuwa akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi wa kampeni hiyo leo na kusema kuwa Promosheni hiyo ni mahususi kwa wateja wao wote wa Parimatch wenye akaunti na hata wateja wapya watakaojiunga katika kipindi hichi cha Kombe la Dunia.

Katika kipindi cha kuanzia 22.11.2022 hadi 26.12.2022, mteja wa Parimatch akifanya bashiri  kwenye mchezo wowote basi ataingia moja kwa moja katika droo wa kuwania Gari aina ya Urban Cruiser yenye O kilometa kutoka kwenye Showroom ya Toyota Tanzania, Bodaboda aina ya Hero Hunter  125cc na smartphone aina ya Samsung Galaxy A03 Core (Simu janja)”, amesema Ismael.

Aidha Ismael aliendelea kwa kusema kuwa “Kila siku tutakuwa tunatoa simu mbili (2) na washindi watakuwa wanatangazwa kupitia kurasa zetu za kijamii na zawadi ya Bodaboda itatolewa kwa wiki mara moja siku ya Ijumaa kupitia droo itakayoruka ITV wiki husika. Zawadi ya Gari itatolewa mwisho wa mashindano haya tarehe 27 Disemba ambapo droo kubwa ya kutafuta mshindi wa gari itafanyika siku hiyo”.

Pamoja na hayo, Ismael amefafanua kuwa katika promosheni hiyo Sehemu ya michezo ya TVBET, Live Casino, Casino New na michezo ya Virtual haitaruhusiwi kushiriki katika promosheni hiyo.

Kampuni ya Parimatch ndio kinara wa michezo ya kubashiri mtandaoni na imekuwa ikitoa ofa kubwa ya bonasi ya 100% mpaka TZs 1,000,000 kwa wateja wapya wanaojiunga nasi! Parimatch imekuwepo nchini Tanzania tangu mwaka 2019, ikitoa huduma nzuri ikijumuisha malipo ya haraka, odds kubwa na promosheni za kusisimua kwenye soka, Kasino na Michezo ya virtual. Mbali na soka, kampuni ya Parimatch pia hutoa mamia ya matukio kila siku kwenye tenisi, UFC, mpira wa vikapu, Kriketi, baseball na michezo mingine mingi ya Live na pre-match. 

HABARI ZAIDI

Mbunge wa Kilosa Profesa Palamagamba Kabudi

"Ndege ijayo ipewe jina la Mwl Nyerere" - Profesa

Baadhi ya Wanachi wa Kata ya Msowero, wakiwa Katika Mkutano wa Hadhara na Mkuu wa Wilaya

Mwenyekiti atiwa mbaroni kwa kuuza mlima, Msowero

Sehemu iliyokumbwa na Mafuriko Kusini mwa Brazil

Wanaokufa kutokana na mafuriko waongezeka Brazil

Baadhi ya Wabunge Wakichangia Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Uchukuzi

Serikali yashauriwa kuwa bunifu sekta ya usafiri

Baadhi ya Wananchi Wakishudia Ajali Iliyomgonga Mwendesha Bodaboda

Watatu wanusurika kifo, scania ikimgonga bodaboda

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Deogratius Ndejembi (kulia) pamoja na Meneja Mwandamizi wa Afya, Usalama na Mazingira kutoka GGML, Dk Kiva Mvungi (kushoto) wakimpatia vifaa kinga mmoja wa washiriki wa mafunzo kwa madereva bodaboda wa jiji la Arusha.

Bodaboda 200 Jijini Arusha wanolewa na kufundwa