(Joel Embiid wa Philadelphia na Chris Paul wa Phoenix Suns kwenye NBA.)
Chris amekuwa mchezaji bora wa Western Conference kwa kuwa na wastani mzuri wa kufunga alama22.3, 7.5 rebound na Assist 12.8 zilizoisaidia Suns kushinda michezo 4 mfululizo na kushika usukani wa Ukanda huo.

(Chris Paul wa Phoenix Suns akiwa anatamba dimbani kwenye moja ya mchezo wa NBA Msimu huu.)
(Joel Embiid wa Philadelphia 76ers akiwa dimbani kwenye moja ya mchezo wa NBA msimu huu)
Embiid amekuwa mchezaji bora wa Eastren Conference kwa kuwa na wastani wa kufunga alama 34.7, rebound 11.7 na Assist 5.7 zilizoisaidia Philadelphia kushinda michezo 3 mfululizo na kushika nafasi ya tatu katika ukanda huo.



