
Kocha huyo mwenye umri wa miaka 40 amekua na mafanikio toka alipokua kocha mkuu wa timu hiyo mwaka 2020 Mark Daigneaut msimu jana alishinda tunzo ya kocha bora wa mwaka msimu huu ameingoza vyema Oklahoma City Thunder kushinda michezo 64 nakupoteza 14
Thunder wamefanikiwa kwenda fainal ya NBA mara baada ya kupata ushindi wao wanne kati ya michezo mitano waliocheza dhidi ya Minnesota Timberwolves ukanda wa magharibi ivyo wanasubiri mshindi kutoka uķanda wa mashariki ambapo mpaka sasa Indiana Pacers anaongoza kwa ushindi wa michezo mitatu mbele ya New York Knicks alieshinda mchezo mmoja tu