Lev Yashin (Black Spider)
Yashin alitumia maisha yake ya soka katika Klabu moja Dynamo Moscow pia aliicheza timu ya Taifa ua Urusi zamani ikiitwa (Soviet Union) michezo zaidi ya 70.
Moja ya rekodi kubwa ya Yashin mbali na tuzo ya Ballon d'Or ni kudaka penati zaidi ya 150, pia amewahi kushinda mashindano ya Olympics kwana 1956.
Hadi mwaka 2026 hakuna golikipa aliyefanikiwa kuvunja rekodi yake liya ya kuwepo kwa magolikipa wakali kama Manuel Neuer, Iker Casillas na Gianluigi Buffon.




