Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

"Hakuna haja ya game 5"- Msofe

Ijumaa , 18th Aug , 2017

Mchezaji wa kutoka timu ya TMT, Rafael Msofe amesema pamoja na ushindi walioupata 'game 2' ya fainali za Sprite BBall Kings dhidi ya Mchenga BBall Stars bado wanakibarua kizito cha kuibadilisha timu yao ili waweze kushinda katika mechi ya kesho

Wachezaji wa TMT na Mchenga BBall Stars (jezi nyeupe) wakiwa katika mpambano.

Msofe amebainisha hayo baada ya kuisaidia timu yake kuweza kutoka kifua mbele kwa pointi 87-78 mchezo wa pili wa fainali hizo jambo ambalo wengi wao hawakutegemea kama ingekuwa hivyo.

"Bado kuna vitu viwili vitatu vya kuviweka sawa katika kikosi chetu ili katika mchezo wa kesho na mwingine wa nne tuweze kushinda pia. Sidhani kama kuna umuhimu wa kuenda mpaka game 5 maana watu wana vitu vingi vya kufanya", alisema Msofe.

Mchezaji wa TMT, Rafael Msofe.

Pamoja na hayo, Msofe amedai kuwa wanataka 'game 4' wamalize kila kitu ili waweze kuondoka na kile kitita cha Milioni 10 za mshindi wa kwanza.

Timu hizo mbili zitakutana tena Jumamosi ya kesho Agosti 19 katika viwanja vya Don Bosco Oysterbay Jijini Dar es Salaam ili waweze kucheza 'game 3' ambayo mshindi atakayepatikana katika mchezo huo atakuwa amejiweka katika nafasi nzuri ya ushindi endapo atashinda pia mchezo wa nne wa fainali hizo.

HABARI ZAIDI

Sehemu ya Ardhi iliyoathirika na Mabadiliko ya Tabia Nchi

Hizi hapa sababu za hali ya hewa isiyotarajiwa

Picha za Satelaiti Zikionyesha Mwenendo wa Kimbunga Hidaya

Kimbunga Hidaya chaendelea kutawala eneo la Pwani

Madaktari Bingwa wa Mama Samia Wakiendelea na Upasuaji

Uvimbe wa kilo 5 waondolewa tumboni kwa mwanamke

Rocket Mwashinga, Chifu Mkuu wa Kabila la Wasafwa

Chifu Mwashinga akemea washirikina kutesa watu

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Wanahabari na Wadau wengine kwenye Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma leo Mei 03, 2024.

Watendaji serikalini ondoeni ukiritimba - Majaliwa

Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro SACP Alex Mkama, akionesha vitu vilivyokuwa vimeibiwa

Fundi ujenzi mbaroni mauaji ya dada wa kazi

Wahitimu wa Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa JKT

Wahitimu JKT watakiwa kulinda miradi ya serikali