(Dwight Howard akiwa anaifunga alama 2 LA Lakers kwenye NBA msimu huu)
Kwa upande mwingine, Rebound hizo 14,465 zinamfanya Howard kuwa kinara kwa wacheza kikapu wanaocheza (ambao hawajastaafu) NBA kwa sasa.

(Dwight Howard akitamba baada ya kufunga alama 2 kwenye mchezo wa wikiendi iliyopita na kuisaidia Lakers kupata ushindi kwenye NBA)







