Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Jipya laibuka sakata la Wambura na TFF

Jumamosi , 24th Mar , 2018

Kaimu Katibu Mkuu wa Shirikisho la soka nchini Wilfred Kidao, ameweka wazi kuwa sakata la Makamu wa Rais wa TFF Michael Wambura, halijaanza hivi karibuni bali ni la muda mrefu na lilikuwa chini ya uchunguzi.

Akiongea leo Kidao amesema suala hilo ambalo limepelekea kufungiwa kwa Wambura, limeanza muda mrefu na lilitokana na ripoti ya ukaguzi ambayo ilibaini mambo mengi yaliyomuhusisha Wambura.

''Jambo hili lilikuwa chini ya ukaguzi kwa muda mrefu na kamati ya ukaguzi ina magwiji kwelikweli imelifanyia kazi vizuri mpaka kufikia hatua ya kutoa maamuzi hayo yaliyofikiwa kwahiyo halijaanza juzi'', amesema Kidao.

Wambura ambaye alichaguliwa kama makamu wa Rais kwenye uchaguzi mkuu wa TFF uliofanyika mwaka jana mjini Dodoma, amefungiwa kutojihusisha na soka maisha yake yote.

Hata hivyo Wambura alisema hukumu hiyo ya kufungiwa imetolewa bila yeye kuhojiwa kwa namna yoyote ile huku akiongeza kuwa tangu waingie madarakani na Rais Wallace Karia hajawahi kuachiwa ofisi kama makamu ila mara zote Karia akisafiri alikuwa anaacha ofisi chini ya kidao.
 

HABARI ZAIDI

Sehemu ya Ardhi iliyoathirika na Mabadiliko ya Tabia Nchi

Hizi hapa sababu za hali ya hewa isiyotarajiwa

Picha za Satelaiti Zikionyesha Mwenendo wa Kimbunga Hidaya

Kimbunga Hidaya chaendelea kutawala eneo la Pwani

Madaktari Bingwa wa Mama Samia Wakiendelea na Upasuaji

Uvimbe wa kilo 5 waondolewa tumboni kwa mwanamke

Rocket Mwashinga, Chifu Mkuu wa Kabila la Wasafwa

Chifu Mwashinga akemea washirikina kutesa watu

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Wanahabari na Wadau wengine kwenye Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma leo Mei 03, 2024.

Watendaji serikalini ondoeni ukiritimba - Majaliwa

Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro SACP Alex Mkama, akionesha vitu vilivyokuwa vimeibiwa

Fundi ujenzi mbaroni mauaji ya dada wa kazi