Jumatano , 25th Jun , 2025

Mchezaji wa Timu ya Dallas Mavericks inayoshiriki Ligi ya mpira wa kikapu nchini Marekani NBA Kyrie Irving's ameongeza mkataba wa miaka mitatu na timu hiyo

Kyrie Irving's - Mchezaji wa Timu ya Dallas Mavericks

Star huyo mwenye umri wa miaka 33 ambae alishinda ubingwa wa NBA Championship mwaka 2016 akiwa na Cleveland Cavaliers alijiunga na Dallas Mavericks mwaka 2023 mkataba wake ulihisha msimu huu ambapo alikua mchezaji huru

Dallas Mavericks wamekubaliana na Kyrie Irving's kusaini mkataba wa miaka mitatu wenye kipengele Cha kuongeza mwaka mmoja kwa dau la pesa za kimarekani Dola million 119 sawa na million 320 za Tanzania