Wekundu hao, hawakuonesha uwezo wowote kwenye mchezo huo, na wanatakiwa kubadili matokeo kwenye mchezo wa marudiano Januari, 25, mwaka huu, endapo wanahitaji kusonga mbele.
Inawezekana ikawa 2-0, 3-0. Kitu muhimu kwetu ni matokeo. Tunajua kuwa tunaweza kucheza vizuri Anfield". Alisema Kloop.