Alhamisi , 24th Dec , 2020

Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa ligi ya Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB) kupitia kikao chake cha tarehe 20 Disemba mwaka huu, imepitia baadhi ya matukio ya Ligi na kufanya maamuzi yafuatayo.

Mwamuzi Elly Sassi (kushoto) na Singida United (kulia)