Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Manara atangaza hali ya hatari

Jumatatu , 27th Feb , 2017

Mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa klabu ya Simba, Haji Manara amefunguka na kusema klabu ya Yanga haiwezi kuifunga Simba sehemu yoyote ile kama mchezo utakuwa wa haki.

Haji Manara

 

Haji Manara amesema hayo baada ya timu yake ya Simba kuibuka na ushindi wa bao 2-1 dhidi ya watani wao wa jadi Yanga katika mchezo uliochezwa siku ya Jumamosi ya tarehe 25, Februari katika Uwanja wa taifa Dar es Salaam. 

Mbali na hilo Haji Manara anasema msimu huu ni lazima wachukue kombe kwani anasema hakuna timu ambayo itaiweza Simba sasa na kudai kuwa kila timu watakayokutana nayo sasa hivi ni kichapo.

"This is Simba, mliona tulicheza wangapi uwanjani, kwa dakika ngapi, wamepata goli la namna gani, tumepata magoli ya namna gani? This is Simba huwa tunataka fair game, hawa Yanga hawajawahi kutufunga kukiwa na fair game popote pale, narudia hawajawahi na hawatakuja kutufunga popote pale, hii ndiyo Simba. Na tutamfunga yoyote anayekuja hivi sasa tunahitaji ubingwa tu, na ubingwa ni lazima unafikiri nani atatuzuia? Simba tunazuilika na nani saizi" alisisitiza Haji Manara 

Wachezaji wa Simba wakishangilia bao katika mchezo wa juzi dhidi ya Yanga

Timu ya Simba kwa sasa ipo kileleni mwa ligi ikiwa na pointi 54 wakifuatiwa na Yanga wakiwa na pointi 49.

HABARI ZAIDI

Sehemu ya Ardhi iliyoathirika na Mabadiliko ya Tabia Nchi

Hizi hapa sababu za hali ya hewa isiyotarajiwa

Picha za Satelaiti Zikionyesha Mwenendo wa Kimbunga Hidaya

Kimbunga Hidaya chaendelea kutawala eneo la Pwani

Madaktari Bingwa wa Mama Samia Wakiendelea na Upasuaji

Uvimbe wa kilo 5 waondolewa tumboni kwa mwanamke

Rocket Mwashinga, Chifu Mkuu wa Kabila la Wasafwa

Chifu Mwashinga akemea washirikina kutesa watu

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Wanahabari na Wadau wengine kwenye Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma leo Mei 03, 2024.

Watendaji serikalini ondoeni ukiritimba - Majaliwa

Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro SACP Alex Mkama, akionesha vitu vilivyokuwa vimeibiwa

Fundi ujenzi mbaroni mauaji ya dada wa kazi