
Messi na Ronaldo
Kupitia mitandao ya kijamii nyota hao wameonesha picha wakiwa mapumzikoni na familia zao ambapo Cristiano Ronaldo ameonekana akiwa na mpenzi wake Georgina Rodríguez pamoja na watoto wake wanne wakiwemo mapacha.
Kwa upande mwingine Lionel Messi naye kupitia kwa mke wake Antonella Roccuzzo, ameweka picha akiwa na Messi pamoja na watoto wao watatu.
Wakristo wote duniani leo wameungana kusherekea sikukuu ya Krismas ambayo ni kumbukumbu ya kuzaliwa ya Yesu Kristo.