Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Mtibwa Sugar yapania

Ijumaa , 23rd Feb , 2018

Timu ya Mtibwa Sugar imejiwekea malengo ya kutwaa ubingwa wa kombe la shirikisho nchini ili kurudisha heshima ya klabu hiyo ambayo iliwahi kutwaa ubingwa wa ligi kuu soka Tanzania Bara.

Hayo yameelezwa na kocha wa Mtibwa Sugar, Zuberi Katwila ambaye amesema  wanataka kurudi kwenye michuano ya Afrika na katika kuhakikisha wanatimiza hilo lazima waibuke mabingwa wa Kombe la Shirikisho FA.

Akiongelea mchezo wao wa 16 bora dhidi ya Buseresere FC Katwila amesema wanatarajia kupata ushindani mkali kutoka kwa mabingwa hao wa mkoa wa Geita ambao wanacheza ligi daraja la Pili. Buseresere FC imetinga hatua hiyo baada ya kuitoa timu ya Kagera Sugar inayoshiriki ligi daraja la kwanza.

Tayari timu za zote zilizocheza fainali ya FA Mei 27, mwaka jana kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma ambzo ni Simba SC walioifunga Mbao FC, zimeshatolewa kwenye michuano hiyo kabla ya hatua ya Robo Fainali.

Mchezo kati ya timu hizo mbili unatarajiwa kuchezwa kesho kwenye uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza. Mtibwa Sugar kwasasa inashika nafasi ya sita kwenye msimamo wa ligi kuu ikiwa na alama 27.

HABARI ZAIDI

Mbunge wa Kilosa Profesa Palamagamba Kabudi

"Ndege ijayo ipewe jina la Mwl Nyerere" - Profesa

Baadhi ya Wanachi wa Kata ya Msowero, wakiwa Katika Mkutano wa Hadhara na Mkuu wa Wilaya

Mwenyekiti atiwa mbaroni kwa kuuza mlima, Msowero

Sehemu iliyokumbwa na Mafuriko Kusini mwa Brazil

Wanaokufa kutokana na mafuriko waongezeka Brazil

Baadhi ya Wabunge Wakichangia Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Uchukuzi

Serikali yashauriwa kuwa bunifu sekta ya usafiri

Baadhi ya Wananchi Wakishudia Ajali Iliyomgonga Mwendesha Bodaboda

Watatu wanusurika kifo, scania ikimgonga bodaboda

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Deogratius Ndejembi (kulia) pamoja na Meneja Mwandamizi wa Afya, Usalama na Mazingira kutoka GGML, Dk Kiva Mvungi (kushoto) wakimpatia vifaa kinga mmoja wa washiriki wa mafunzo kwa madereva bodaboda wa jiji la Arusha.

Bodaboda 200 Jijini Arusha wanolewa na kufundwa

Rajab Abrahaman Abdalah, Mwenyekiti wa CCM Mkoa Tanga

CCM Tanga yaijibu CHADEMA kuhusu huduma za kijamii

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Jenista Mhagama

Wazazi simamieni maadili kwa watoto 

Sehemu ya Ardhi iliyoathirika na Mabadiliko ya Tabia Nchi

Hizi hapa sababu za hali ya hewa isiyotarajiwa