Jumapili , 14th Jan , 2024

Mdau kutoka ''DM'' anasema kwenye ligi kuu ya uingereza kulipoa kwa sababu ya kumkosa mtu kama De Bruyne hivyo kurejea kwake kumerejesha afya kwenye ligi hiyo, mwenye ubingwa wake karejea kazi mnayo mwisho wa kunukuu.

 

Kabla kutuandikia kama unakubaliana na mtazamo wake au la, Baada ya mchezo wa hapo jana ambao Man city 3 vs Newcastle 2, kuibuka na ushindi ambao De Bruyne alihusika na magoli mawili kati ya matatu (3)

Kocha wa timu hiyo Pep Guardiola alinukuliwa akisema ''De Bruyne ni kipaji haswa na siyo juu ya mbinu, ni juu ya kijapi''

Unahisi kurejea kwa De Bruyne kunaweza kuwa msiba mzito kwa Liverpool? tuandikie mtazamo wako kwenye hili.