Djokovic mwenye miaka 35, alilazimika kufanyiwa matibabu juu ya maumivu ya misuli ya paja (hamstring) na kufungwa bandeji kwenye mguu wake wa kushoto na sasa atapambana na Muastralia Alex de Minaur anayekamata nafasi ya 22 kwa viwango vya tenisi duniani kwa upande wa Wanaume