Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Pep Guardiola naye akumbwa na 4G EPL

Jumapili , 15th Jan , 2017

Everton imepeleka msiba mzito kwa kocha Pep Guardiola baada ya kuifunga Manchester City mabao 4-0 kwenye mchezo wa ligi kuu ya soka nchini Uingereza.

Kocha wa Man City Pep Guardiola, alikuw akiona kama ndoto hivi

Romelu Lukak, Kevin Mirallas walifunga mabao kipindi cha kwanza na kuipeleka Everton, kuongoza, mbele ya City, iliyokuwa imetawala mchezo kwa 71 asilimia.

Tom Davies aliwainua tena wapenzi wa uwanja wa Goodison Park kwa kumtungua kipa wa City, Claudio Bravo na Ademola Lookman alifunga bao la 4, kwenye dakika za majeruhi, na kuwaacha matajiri wa Manchester, wakitoka patupu.

Machester City, sasa inakaa nafasi ya tano ikiwa na pointi 40 baada ya michezo 22.

Hiki ni kipigo cha kwanza kikubwa cha aina hiyo kwa kocha wa Man City Pep Guardiola tangu aanze kufundisha soka la ushindani

Ademola Lookman, akipongezwa na kocha wake Ronald Koeman baada ya kufunga bao kwenye mechi yake ya kwanza dhidi ya Man City

Katika mchezo mwingine uliowakutanisha watani wa jadi Manchester United na Liverpool, matokeo yameuwa ni sare ya bao 1-1 ambapo wageni Liverpool ndiyo waliokuwa wa kwanza kupata bao dakika ya 27 kupitia kwa James Milner kwa mkwaju wa penati, kabla ya Zlatan Ibrahimovic kusawazisha kwa kichwa dakika ya 83.

HABARI ZAIDI

Muonekano wa Eneo la Somanga baada ya Mawasiliano kati ya Lindi na Dar es Salaam kurejeshwa.

Mawasiliano yarejeshwa barabara ya Dar - Lindi

Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga

Kituo cha kupoza umeme kujengwa Tunduma

Mkuu wa Usalama Barabarani mkoa wa Songwe Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (SSP) Charles Bukombe, akizungumza na abiria

"Fungeni mikanda muda wapo safarini" - SSP

Mbunge wa Kilosa Profesa Palamagamba Kabudi

"Ndege ijayo ipewe jina la Mwl Nyerere" - Profesa

Baadhi ya Wanachi wa Kata ya Msowero, wakiwa Katika Mkutano wa Hadhara na Mkuu wa Wilaya

Mwenyekiti atiwa mbaroni kwa kuuza mlima, Msowero

Sehemu iliyokumbwa na Mafuriko Kusini mwa Brazil

Wanaokufa kutokana na mafuriko waongezeka Brazil