Polisi wakati wa makabiliano na mashabiki mitaani London
Tukio limetokea baada ya mechi, wakati Polisi wakidhibiti uwepo wa mikusanyiko mikubwa ya watu jijini London ambao walikuwa wakishangilia Englang kuingia nusu fainali.
Kati yao, watatu wanatuhumiwa kuwajeruhi askari wawili. Katika mchezo huo England ilishinda 4-0.
Wachezaji wa England wakishangilia moja ya goli lao




