Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Rekodi kuelekea Robo Fainali Kombe la Dunia 2022

Alhamisi , 8th Dec , 2022

Zimebakia siku mbili kabla ya hatua ya Robo Failani kutimua vumbi nchini Qatar, hizi ni rekodi mbalimbali za timu zitakazopambana kwenye hatua hiyo kuanzia Ijumaa, Disemba 9, 2022.

Mastaa wa timu zilizofuzu hatua ya Robo Fainali Kombe la Dunia 2022

England itapambana na Ufaransa, timu hizi zitakutana kwa mara ya 3 kwenye fainali za Kombe la Dunia ambapo kwenye michezo 2 iliyopita yote England ilishinda. Mwaka 1966 waliinyuka Ufaransa mabao 2-0 na 1982 walishinda mabao 3-1. Huu pia utakuwa mchezo wa 32 timu hizi zinakutana kwenye mashindano yote, England wameshinda mara 17 sare michezo 5 na Ufaransa wameshinda mara 9.

Argentina watapambana na Uholanzi, ambapo rekodi zinaonesha timu hizi zimekutana mara 5 kwenye Kombe la Dunia. Uholanzi wameshinda mara 2, Argentina wakishinda mara moja na mara 2 wakitoka sare. Mara ya mwisho timu hizi kukutana kwenye Kombe la Dunia ilikuwa mwaka 2014 hatua ya Nusu Fainali nchini Brazil ambapo Argentina ilishinda kwa mikwaju ya penati 4-2.

Mchezo mwingine ni Croatia dhidi ya Brazil. Croatia hawajawahi kuifunga Brazil kwenye michezo minne waliyokutana. Wamefungwa mara 3 na wametoka sare mchezo mmoja, Neymar Jr ndiye mchezaji wa Brazil anayeongoza kuifunga Croatia akiwafunga mabao matatu.

HABARI ZAIDI

Rajab Abrahaman Abdalah, Mwenyekiti wa CCM Mkoa Tanga

CCM Tanga yaijibu CHADEMA kuhusu huduma za kijamii

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Jenista Mhagama

Wazazi simamieni maadili kwa watoto 

Sehemu ya Ardhi iliyoathirika na Mabadiliko ya Tabia Nchi

Hizi hapa sababu za hali ya hewa isiyotarajiwa

Picha za Satelaiti Zikionyesha Mwenendo wa Kimbunga Hidaya

Kimbunga Hidaya chaendelea kutawala eneo la Pwani

Madaktari Bingwa wa Mama Samia Wakiendelea na Upasuaji

Uvimbe wa kilo 5 waondolewa tumboni kwa mwanamke

Rocket Mwashinga, Chifu Mkuu wa Kabila la Wasafwa

Chifu Mwashinga akemea washirikina kutesa watu