Mohamed Salah na Jones
“Mo aliomba msamaha kwetu na alikuwa Kama nimewahi kumfanya mtu yeyote au kukufanya uhisi kwa njia yoyote ile, naomba msamaha.
“Naweza tu kuzungumza kutokana na mimi kumjua Salah na jinsi alivyo nasi na jinsi alivyotenda katika hilo. Alikuwa na matumaini, Alikuwa Mo yule yule, alikuwa na tabasamu kubwa usoni mwake na kila mtu alikuwa sawa naye”
"Nadhani mahojiano hayo ni sehemu tu ya kutaka kuwa mshindi. Aliomba msamaha, tunaendelea, tunaendelea"- .

