Ijumaa , 29th Dec , 2023

Unaambiwa kocha wa klabu ya Manchester United, Erik Ten Hag amesisitiza kwa kuuambia Uongozi wa klabu hiyo kuwa hataki kumsajili Sofyan Amrabat kwa usajili wa Kudumu mara baada ya muda wake wa mkopo kumalizika.