Alhamisi , 24th Jun , 2021

Makamu Mwenyekiti wa Yanga Fredrick Mwakalebela, ameondolewa adhabu ya kufungiwa miaka mitano kutojihusisha na soka ndani na nje ya nchi na sasa yupo huru kuendelea na majukumu yake.

Makamu Mwenyekiti wa Yanga Fredrick Mwakalebela

Taarifa ya Shirikisho la soka Tanzania (TFF) imeeleza.