Submitted by Bhoke on Jumatano , 23rd Apr , 2014Usikose Nirvanai Ijayo tutakuwa na mlimbwende Niler David ambaye ameiwakilisha Tanzania kwenye Top Model World na kushika nafasi ya tano na pia kushinda taji la Miss Photogenic. Jumanne sa moja usiku