
Bunge limemchagua tena Azzan Zungu kuwa Mwenyekiti mpya wa wa Bunge hilo jana na kupita kwa kishindo nafasi ambayo anaitumikia tena kwa mara ya pili.
Akitoa neno la shukrani Mhe. Zungu amesema nafasi hiyo sio rahisi lakini ataitumikia kwa uadilifu tena bila kupendelea upande wowote.