Wasanii na watu maarufu
Afrika Kusini ina idadi ya wageni na wahamiaji wapatao milioni 2.3, kutokea mataifa mbalimbali ikiwemo China, India, Marekani na watu wa mashariki ya kati kutokea bara la Ulaya.
Hii ni orodha ya mastaa ambao wameandika kupitia mitandao ya kijamii kwa kuonyesha kuguswa, kutokana na hali inayoendelea nchini humo.
Baadhi ya raia wa south wanawachoma moto wenzao kisa sio raia wasouth... #UJINGAWAKIWANGOCHAJUU pic.twitter.com/XFCPQUYeVQ
— Madee (@Madeeseneda) September 3, 2019
Nikki wa Pili "Kinachotokea SA ni moja ya sifa ya kizazi cha sasa ni mihemko na kutokuwepo na fursa kubwa ya kujielemisha. Moja ya sifa kubwa ya babu zetu wakati wa utumwa au ukoloni kina Malcom X, Samora, Mwalim ilikua ni kujielimisha na kupambana kujifunza".
#Africa With those #XenophobicAttacks, finally #Africans are not safe everywhere. We must stay or come home & fight against those #AfricanPresidents by fighting against divisions & corruption, fight for #freedom, #democracy & for creating jobs for a better social economy.
RIP. pic.twitter.com/oZQNN3eauN
— Umuvuga Kuri (@Umuvugakuri) September 3, 2019
Skales "Mnasema wageni wamekuja kuchukua kazi zenu, Wanawake wenu, Wanaleta uhalifu kwenu. Ila nyinyi Waafrika kusini ndiyo mnawaua, mnawakaba, na kuwabaka kila siku".
Educate this south Africans “<>hate” #StopXenophobicAttacks pic.twitter.com/7g7O5hieVt
— SKALES (@youngskales) September 3, 2019
Zari The Bosslady "Nanyoosha mikono yangu juu, wenyeji wanafanya mambo ya kibaguzi kwa kuwashambulia wenyeji kwa kuwapiga kuwaibia. Kemea Ubuguzi wa rangi".
Rosa Ree "Mandela amka uone wanao wanavyofanya kwenye nchi uliyoteseka na kuipigania, ni muda halali wa Yesu kurudi kutusaidia, Eh Mwenyezi Mungu tusamehe kwani hatujui tuyafanyayo".
Yemi Alade "Inatosha sasa hali hii itaanedelea hadi lini, Africa ndiyo nyumbani kwetu, tunatakiwa kuitwa umoja wa mataifa ya Africa hatuitaji kuona umwagaji wa damu tena".
If our country good ? Wetin we go find go southy ???
— Davido (@iam_Davido) September 3, 2019