Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli.
Taarifa hiyo imetolewa leo Septemba 29, 2020, na Mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais Ikulu Gerson Msigwa, na kueleza kuwa Dkt Mjingo amechukua nafasi iliyoachwa na Dkt. Simon Mduma, ambaye amestaafu.
Kabla ya uteuzi huo Dkt. Mjingo alikuwa ni Mkuu wa Kitengo cha Tiba ya Wanyamapori na Huduma za Maabara (TAWIRI), na uteuzi huo umeanza rasmi hii leo.