Jumatatu , 1st Feb , 2021

Wajasiliamali  katika soko la matunda Mailikumi Wilayani Handeni Mkoani Tanga, kwa pamoja wameiomba serikali wilayani humo, kuwasaidia kuboresha mazingira ya soko lao.

Pia wamebainisha kuwa katika soko lao hilo wanauza machungwa mbalimbali yanayopatikana Tanga na Kilimanjaro na moja ya Chungwa maarufu eneo hilo ni 'Binti Juma'.

Mmoja wa wauzaji hao ametoa maelezo juu ya aina ya chungwa hilo kwa kusema ni tamu sana, linawahi kukomaa na halina uchachu hata kidogo na wateja wanalipenda sana.

Zaidi Tazama Video hapo chini