Askari wa usalama barabarani akikagua gari
Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza Ramadhan Ng’anzi ameyasema hayo wakati akizindua wiki ya usalama barabarani na kueleza kuwa hatosita kuwachukulia hatua za kisheria wamiliki wa magari binafsi watakaobainika kufunga ving’ora kwenye magari yao kinyume na sheria.






