Jumatatu , 13th Dec , 2021

Huenda Vanessa Mdee anatamani kuongeza mtoto wa pili na mpenzi wake wa Rotimi baada ya ku-post video fupi yenye caption inayosema mtoto wa pili yupo njiani kuja 'baby number two is loading'.

Vanessa Mdee na mpenzi wake Rotimi

Video yenye taarifa hiyo ameshea kwenye mtandao wake wa Instagramm na tayari wawili hao wana mtoto mmoja wa kiume waliyempata mwezi Septemba mwaka huu na kumpa jina la Seven Adeoluwa.